Katika mbio za
Serengeti marathon zilizofanyika Desemba 4, 2013 katika mji mdogo wa Lamadi
ikishirikisha mikoa miwili ya Mwanza na Mara, Mbunge wa Jimbo la Busega ulipo
mji wa Lamadi Dk. Titus Kamani alicheza ngoma za jadi wakati akimkaribisha
mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Simiyu Paul Mabiti.
No comments:
Post a Comment