HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Monday 13 January 2014

SAFARI YA KUTOKA BUNDA HADI LAMADI SERENGETI MARATHON 2013- SEHEMU YA 6, DK. TITUS KAMANI AKARIBISHWA NA NGOMA ZA JADI



Katika mbio za Serengeti marathon zilizofanyika Desemba 4, 2013 katika mji mdogo wa Lamadi ikishirikisha mikoa miwili ya Mwanza na Mara, Mbunge wa Jimbo la Busega ulipo mji wa Lamadi Dk. Titus Kamani alicheza ngoma za jadi wakati akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Simiyu Paul Mabiti.








Wednesday 8 January 2014

WANARIADHA IRENE ASIA NA NEEMA MATHIAS WATAMANI KUSHIRIKI OLIMPIC GAMES

IRENE ASIA NA NEEMA MATHIAS WAKIFURAHIA NEMBO YA OLIMPIKI.
NEEMA MATHIAS, KARATU SPORTS FESTIVAL
IRENE ASIA, KARATU SPORTS FESTIVAL