HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Monday 28 April 2014

ELIBARIKI BUKO ATISHA MBIO ZA MUUNGANO, HYAC YANG'ARA




ELIBARIKI BUKO

  1600M
  Elibariki Buko                     HYAC              4;12
 Mwamedi Mnyandeu         Dar                 4;13
 Misiwa Lameck                   HYAC             4;14

  1000M
  Wanaume
   John Joseph                      Lord Barden                         2;35;63
   Elibariki Buko                    HYAC                         2;36;34
   Jackison  Tesha                 Dar                             2;40; 89
     

3000M
 Wanaume
Atumani Rajabu      Dar     8;38
Petter Sinda              Dar     8;43
 Tabu Mwandu                     8;51

500M
  Wanaume
Andrew Bonifance Mbeya              1;06;13
John Silima              Dar                             1;08;63
Awali Mstafa             Dar                 1;11;89

   500M
 Wasichana
   Rose Seif Filbert   Bayi                1;20
   Edina Chikolo       Bayi                1;24
Joyce mosses            Bayi                            1;26


 1600
 Wanawake
 Regina Deogratiasi                         Bayi                5;35
 Bitrina michael                   Bayi                5;60
Rehema Martini                  Bayi                5; 70

 300m
   Wanaume
   Jumanne chacha              Dar     35;38
   Bentamini Michael          Dar     39;03
    Frances Majoji                             Dar     39;91
  


Mbio hizo zilifanyika Aprili 25, 2014 kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo kwa mara ya kwanza mchezo wa Riadha ndio ulioleta medali 1966.

Thursday 24 April 2014

DOMICIAN GENANDI, MKURUGENZI WA HOLILI YOUTH ATHLETICS CLUB




ELIBARIKI BUKO, WAMURA LAMECK KUCHUANA MBIO ZA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA



Wanariadha wawili kutoka Holili Youth Athletics Club wanatarajiwa kukimbia mbio fupi katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibari Jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi.


Wanariadha hao ni Elibariki Buko na Wambura Lameck ambao watakimbia mbio za mita 800 na 1500

Itakumbukwa kuwa Elibariki Buko alikimbia Sokoine Min Marathon 2014 kilomita 10 ikiwa ni sehemu yake ya kujipanga vizuri kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, na kushika nafasi ya 17 kati ya wanariadha 200.

Wambura Lameck ana rekodi ya kufanya vizuri katika mashindao ya kimataifa hasa ikizingatiwa kwa mara ya kwanza kushiriki michuano ya kimataifa ilikuwa ni mwezi Machi mwaka huu nchini Uganda akishika nafasi ya 16 katika kilomita 8 kati ya wanariadha 150 walioshiriki mbio hiyo.

Wambura Lameck anatarajiwa mwanzoni mwa mwezi ujao kutua nchini Sweden kwa michuano ya kimataifa akiwa ni miongoni mwa wanariadha kutoka nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Holili Youth Athletics Club, Domician Genandi amesema anatarajia kuona vijana wake wakifanya vizuri katika mbio hizo kwani wana vipaji vinavyoweza kuufanya mchezo wa riadha kutazamwa kama ilivyokuwa mika ya 1960.

Imetolewa na:
Jabir Johnson
Afisa Habari, Holili Youth Athletics Club
+255-(0)-768 096 793

Thursday 17 April 2014

MATOKEO KILOMETA 10 SOKOINE MIN MARATHON 2014




Kilometa 10


WANAUME


1
Fabian Joseph

34:28.04
WNS
2
Alphonce Felix

34:45.39
HYAC
3
Dickson Marwa

34:57.47
HYAC
4
Gabriel Gerald

34:59.09
WNS
5
Fabian Nelson

35:07.20
CCP







WANAWAKE


1
Jackline Sakilu

40:01.26
JWTZ
2
Nathalia Elisante

40:51.27
ARUSHA
3
Failuna Abdi

41:13.54
WNS
4
Mary Naali

41:25.15
AAAC
5
Serina Amosi

43:24.70
ZANZIBAR
6
Flora Yuda

44:52.99
JWTZ