HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Saturday 28 December 2013

SAFARI YA KUTOKA BUNDA HADI LAMADI SERENGETI MARATHON 2013- SEHEMU YA 5



Leo katika sehemu yetu ya 5 tutajikita katika kuwatazama wanariadha  wa kigeni (kutoka barani Ulaya) wakikimbia mbio hizo Desemba 4, 2013 hadi Kituo cha Kumalizia Stop Over mjini humo.

Hususani kwa wazungu ambao nao walishiriki mbio hizo
Klas Molsdens  07 (SWEDEN)
Tom Sharper  08 (ENGLAND)
Carolina Moldeus  04 (SWEDEN)
Catherine Houlihal  192 (UK)

KABLA YA KUANZA MBIO KATIKA MBUGA ZA SERENGETI, MARA
JOHNSON JABIR (WA KWANZA KULIA) ALIAMUA KUCHUKUA KUMBUKUMBU MUHIMU SANA
WAKIWA KATIKA BARABARA YA MWANZA- MARA KUPITIA LAMADI
WAKIFURAHIA BAADA YA KUMALIZA KILOMETA 21 (HALF MARATHON)
Tom Sharper (ENGLAND), Klas Molsdens  07 (SWEDEN) na Carolina Moldeus  04 (SWEDEN)
Tom Sharper 08 (ENGLAND)
Klas Molsdens  07 (SWEDEN) AKITABASAMU
JOHNSON JABIR AKIWA NA WAGENI HAO
WAKIFURAHIA BAADA YA KUMALIZA KILOMETA 21 (HALF MARATHON)  NA KUPIGA PICHA YA PAMOJA

SIKU HIYO ILIKUWA JOTO KWELI KWELI


WAKATI WA ZAWADI ULIWADIA