HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Tuesday 10 December 2013

SAFARI YA KUTOKA BUNDA HADI LAMADI SERENGETI MARATHON 2013- SEHEMU YA 1



Holili Youth Athletics Club ni miongoni ya taasisi zilizohudhuria na kushiriki katika shamrashamra ya mbio ndefu za Serengeti Marathon ambazo ziliasisiwa na Mbunge wa Jimbo la Busega Dk. Titus Mlengea Kamani.
Mbio hizi zilifanyika Desemba 4, 2013 katika Mbuga wa Serengeti na kumalizikia  katika Kijiji cha Lamadi mkoani Simiyu.

Zilifunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bunda Joshua Milumbe mapema kabisa majira ya saa 1 za asubuhi katikati ya Hifadhi za wanyama za Serengeti kilometa 3.5 kutoka geti la Ndabaka.

Wanariadha wa mbio ndefu za Kilometa 42 walianza safari yao hadi Lamadi kasha Kalemera na kumalizia Stop-Over, Lamadi.

Wanariadha kutoka ndani na je ya Tanzania walikimbia mbio hizo wakiwemo raia kutoka Sweden, England na Scotland

MABASI YA ABIRI KUTOKA LAMADIKWENDA BUZURUGA MKOANI MWANZA


MJI UNAKUWA WA LAMADI, ULIOPO NJIA YA KWENDA MUSOMA UKITOKEA MWANZA



ILIKUWA ASUBUHI NA MAPEMA JUA LINAPOCHOMOZA NDIPO MBIO HIZO ZILIANZA


STOP-OVER


WATU KUTOKA MAENEO MBALIMBALI WALISHIRIKI MBIO HIZO WA KWANZA KULIA NI MENEJA WA TIMU, NELSON MRASHANI WA HOLILI YOUTH ATHLETICS CLUB AKIWA NA WASHIRIKI WENGINE MUDA MCHACHE KABLA YA KUANZA MBIO HIZO

MKUU WA WILAYA YA BUNDA, MHESHIMIWA JOSHUA MILUMBE


MRATIBU WA SERENGETI MARATHON AKIZUNGUMZA JAMBO KWA WANARIADHA KABLA YA KUANZA ASUBUHI YA DESEMBA 4, 2013


WANARIADHA WA FULL MARATHON (KILOMETA 42) WAKIANZA KUTIMUA MBIO

GETI LA NDABAKA KUINGIA SERENGETI NATIONAL PARK


MTAYARISHAJI: JOHNSON JABIR
ITAENDELEA…

No comments:

Post a Comment