HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Thursday 12 December 2013

SAFARI YA KUTOKA BUNDA HADI LAMADI SERENGETI MARATHON 2013- SEHEMU YA 3



Holili Youth Athletics Club waliwasili katika mji mdogo wa Lamadi Desemba 2, mwaka 2013 wakiwa na wachezaji kadhaa wa kadhaa wakiwa na madhumuni ya kushiriki michuano hiyo.

GODFREY CHARLES, BARAKA WILLIAM NA DICKSON MARWA WAKIWA NDANI YA BASI

Miongoni mwao alikuwepo Baraka William, Dickson Marwa na Godfrey Charles, kwa upande wa wanawakea likuwepo Furaha Sambeke na Neema Mathias.

Siku ya Pili yake yaani Desemba 4 mwaka huu waliamua kupasa misuli kujiweka sawa ikiwa ni siku moja tu kabla ya michuano hiyo kuanza kutimua vumbi, kujichua kuliendelea.

Wachezaji hao walifikia katika Nyumba ya kulala wageni ya Kayungi mjini humo.

BASI LILILOTUMIKA KUSAFIRIA MPAKA LAMADI LIKITOKEA MOSHI

FURAHA SAMBEKE BAADA YA KUWASILI LAMADI

NEEMA MATHIAS KATIKA POZI BAADA YA KUWASILI KWA AJILI YA SERENGETI MARATHON 2013

MASSAGE KWA USTADI MKUBWA ILIFANYIKA KWA AJILI YA KULAINISHA MISULI

BARAKA WILLIAM

DICKSON MARWA


MTAYARISHAJI: JOHNSON JABIR

ITAENDELEA…

No comments:

Post a Comment