HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Wednesday 11 December 2013

GODFREY CHARLES, MWANARIADHA WA HOLILI YOUTH ATHLETICS CLUB (HYAC) AJAYE KWA KASI



Mwanariadha huyu ana umbo zuri kabisa la kuweza kuonyesha Uwezo katika mbio ndefu zile za kati za kilometa 21 na Full Marathon na ndio maana Mkurugenzi wa HYAC aliona ni vema akamwendeleza nyota huyo ajaye kwa kasi kwa kumweka kambi.
GODFREY CHARLES
Kambi hiyo ipo Tarakea wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kujiandaa na michuano mbalimbali, hivi karibuni ameshiriki michuano ya mbio za kati (Half Marathon ) zijulikanazo kama Serengeti Marathon.


GODFREY CHARLES (53) AKIWA NAWENZAKE KUTOKA HYAC NEEMA MATHIAS (146) NA FURAHA SAMBEKE (127)

GODFREY CHARLES AKIPOKELEWA BAADA YA KUKIMBIA KILOMETA 21 KWA MUDA WA SAA 1:05:55

No comments:

Post a Comment