HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Sunday 15 December 2013

SAFARI YA KUTOKA BUNDA HADI LAMADI SERENGETI MARATHON 2013- SEHEMU YA 4



Leo katika sehemu yetu ya nne tutajikita katika kuyatazama yaliyotokea njiani baada ya wakati wanariadha wakikimbia mbio hizo Desemba 4, 2013 kabla ya kufika katika Kituo cha Kumalizia Stop Over mjini humo.
WANARIADHA KILOMETA 21 WAKIWA NJIANI KURUDI KATIKA KITUO CHA KUMALIZIA, HUKU MWANADADA FURAHA SAMBEKE (127 ) WA HYAC AKIWA MIONGONI MWAO

Wanariadha waliokimbia ni wale wa kilometa 5, kilometa 21 (Half Marthon) na Kilometa 42 (Full Marathon).
JOSHUA KABUTI (144)

DK. TITUS KAMANI AKIVUKA GETI LA NDABAKA
MUASISI WA MBIO DK. TITUS KAMANI NAYE ALIKIMBIA KILOMETA 5.

WASHIRIKI WA KILOMETA 42

WASHIRIKI WA KILOMETA 21, AKIWEMO
JOSHUA MAINJI (55)
MARY NAALI (56)
ISSA JUMA (143) NA ALI JUMA (133)
TOM SHARPLES (08)  KUTOKA JIJINI MANCHESTER, ENGLAND AKIWA NA WASHIRIKI WENZAKE
SAID MAKULA (65)
ELIJAH TIROP (20)
TOMU MUTIE (126)

ISAAC KIMUTAI (36)

No comments:

Post a Comment