Leo
katika sehemu yetu ya 5 tutajikita katika kuwatazama wanariadha wa kigeni (kutoka barani Ulaya) wakikimbia
mbio hizo Desemba 4, 2013 hadi Kituo cha Kumalizia Stop Over mjini humo.
Hususani
kwa wazungu ambao nao walishiriki mbio hizo
Klas Molsdens 07 (SWEDEN)
Tom Sharper 08 (ENGLAND)
Carolina Moldeus 04 (SWEDEN)
Catherine Houlihal 192 (UK)
KABLA YA KUANZA MBIO KATIKA MBUGA ZA SERENGETI, MARA
|
JOHNSON JABIR (WA KWANZA KULIA) ALIAMUA KUCHUKUA KUMBUKUMBU MUHIMU SANA |
WAKIWA KATIKA BARABARA YA MWANZA- MARA KUPITIA LAMADI
|
WAKIFURAHIA BAADA YA KUMALIZA KILOMETA 21 (HALF MARATHON)
|
Tom Sharper (ENGLAND), Klas Molsdens 07 (SWEDEN) na Carolina Moldeus 04 (SWEDEN)
|
Tom Sharper 08 (ENGLAND) |
Klas Molsdens 07 (SWEDEN) AKITABASAMU |
JOHNSON JABIR AKIWA NA WAGENI HAO
|
WAKIFURAHIA BAADA YA KUMALIZA KILOMETA 21 (HALF MARATHON) NA KUPIGA PICHA YA PAMOJA
|
SIKU HIYO ILIKUWA JOTO KWELI KWELI |
WAKATI WA ZAWADI ULIWADIA
|