Holili
Youth Athletics Club ni miongoni ya taasisi zilizohudhuria na kushiriki katika
shamrashamra ya mbio ndefu za Serengeti Marathon ambazo ziliasisiwa na Mbunge wa
Jimbo la Busega Dk. Titus Mlengea Kamani.
Mbio
hizi zilifanyika Desemba 4, 2013 katika Mbuga wa Serengeti na kumalizikia katika Kijiji cha Lamadi mkoani Simiyu.
Zilifunguliwa
na Mkuu wa Wilaya ya Bunda Joshua Milumbe mapema kabisa majira ya saa 1 za
asubuhi katikati ya Hifadhi za wanyama za Serengeti kilometa 3.5 kutoka geti la
Ndabaka.
Wanariadha
wa mbio ndefu za Kilometa 42 walianza safari yao hadi Lamadi kasha Kalemera na
kumalizia Stop-Over, Lamadi.
Wanariadha
kutoka ndani na je ya Tanzania walikimbia mbio hizo wakiwemo raia kutoka
Sweden, England na Scotland
MABASI
YA ABIRI KUTOKA LAMADIKWENDA BUZURUGA MKOANI MWANZA
|
MJI
UNAKUWA WA LAMADI, ULIOPO NJIA YA KWENDA MUSOMA UKITOKEA MWANZA
|
ILIKUWA
ASUBUHI NA MAPEMA JUA LINAPOCHOMOZA NDIPO MBIO HIZO ZILIANZA
|
STOP-OVER
|
WATU
KUTOKA MAENEO MBALIMBALI WALISHIRIKI MBIO HIZO WA KWANZA KULIA NI MENEJA WA
TIMU, NELSON MRASHANI WA HOLILI YOUTH ATHLETICS CLUB AKIWA NA WASHIRIKI WENGINE
MUDA MCHACHE KABLA YA KUANZA MBIO HIZO
|
MKUU
WA WILAYA YA BUNDA, MHESHIMIWA JOSHUA MILUMBE
|
MRATIBU
WA SERENGETI MARATHON AKIZUNGUMZA JAMBO KWA WANARIADHA KABLA YA KUANZA ASUBUHI
YA DESEMBA 4, 2013
|
WANARIADHA
WA FULL MARATHON (KILOMETA 42) WAKIANZA KUTIMUA MBIO
|
GETI
LA NDABAKA KUINGIA SERENGETI NATIONAL PARK
|
ITAENDELEA…
No comments:
Post a Comment