HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Saturday, 28 June 2014

PASCAL MOMBO SARWATT, MWANARIADHA WA HYAC



 PASCAL MOMBO SARWATT AKIWA OFISINI 
PASCAL MOMBO SARWATT HUMAANISHA KILE ANACHOKIFANYA
PASCAL MOMBO SARWATT HUPENDA KUTUNZA KUMBUKUMBU KILA MAHALI ANAPOPITA
PASCAL MOMBO SARWATT, HUPENDA KUFURAHI NA WATU KATIKA PICHA NI WANARIADHA WENZAKE FURAHA SAMBEKE NA OSWALD KAHURUZI
PASCAL MOMBO SARWATT, AKIKUTANA NA MTU WA MUHIMU HUFANYA KILA AWEZALO KUTUNZA KUMBUKUMBU
PASCAL MOMBO SARWATT, HUFURAHI SANA ANAPOBADILISHANA MAWAZO NA WENGINE KATIIKA PICHA NI MWANARIADHA MWENZAKE NELSON PRIVA NA PEMBENI NI MKURUGENZI WA HYAC, DOMICIAN GENANDI
 PASCAL MOMBO SARWATT, KWENYE MICHUANO MBALIMBALI HUJITUMA KUFIKIA MALENGO, HAPO NI KATIKA BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON AKIMALIZA NAFASI YA 4 KWA MUDA WA SAA 1:04.10 IKIWA NI HALF MARATHON.
 PASCAL MOMBO SARWATT, HUFURAHIA SANA PINDI APATAPO KINACHOSTAHILI
PASCAL MOMBO SARWATT, BADO HAWEZI KUISAHAU KLABU INAYOMTUNZA, HOLILI YOUTH ATHLETICS CLUB (HYAC).

WALIOSIMAMA (KUTOKA KUSHOTO), PASCAL SARWATT, OSWALD KAHURUZI, ELIBARIKI BUKO, GODFREY CHARLES, IRENE CHIMA
MSTARI WA MBELE (KUTOKA KUSHOTO), JACKSON MAKOMBE, FURAHA SAMBEKE, JOHNSON MAKOMBE
*BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014*

BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014: TOP 10, HALF MARATHON WOMEN



BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014
 Sunday; June 22, 2014
TOP 10
TAKWIMU
 
WANAWAKE
21 km
1
Jackline Sakilu
Arusha-JWTZ
1:11.53
2
Failuna Abdi
Arusha
1:12.26
3
Zakia Mrisho
Arusha
1:13.07
4
Catherine Lange
Arusha-Magereza
1:14.16
5
Natalia Elisante
Arusha
1:14.55
6
Mary Naali
Arusha
1:17.02
7
Furaha Sambeke
HYAC
1:20.40
8
Banuelia Brighton
Moshi
1:26.03
9
Lucia Minde
Dar
1:43.13
10
Martha Nnko
Dar
1:43.31
Prepared by: Jabir Johnson; Public Relation Officer, Holili   Youth Athletics Club (HYAC), 2014.

Thursday, 26 June 2014

MWANZILISHI WA "MT.KILIMANJARO MARATHON" AZURU HYAC



Mary Frances Mwanzilishi wa Mbio za “Mountain Kilimanjaro Marathon” azuru Holili Youth Athletics Club (HYAC).


CES AKIWA KATIKA OFISI ZA HYAC JUNI 25,2014
 
MARY FRANCES NA DOMICIAN GENANDI WAKITOKA UHURU HOSTEL MJINI MOSHI
 MARY FRANCES NA DOMICIAN GENANDI WAKIWA NJIANI KWENDA HOLILI KM 38 KUTOKA MJINI MOSHI
MARY FRANCES NA DOMICIAN GENANDI WAKIWASILI MJINI HOLILI, MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA
 
MARY FRANCES NA DOMICIAN GENANDI WAKISHUKA KATIKA GARI
 DOMICIAN GENANDI NA MARY FRANCES WAKIZUNGUMZA JAMBO
DOMICIAN GENANDI NA MARY FRANCES WAKIINGIA OFISINI
 
DOMICIAN GENANDI NA MARY FRANCES WAKIZUNGUMZA JAMBO
DOMICIAN GENANDI AKITOA MAELEZO YA AWALI KWA  MARY FRANCES
 MARY FRANCES ALIVUTIWA SANA NA NAMNA HYAC ILIVYOJIPANGA
 MARY FRANCES NA DOMICIAN GENANDI KATIKA PICHA YA PAMOJA OFISINI
DOMICIAN GENANDI AKIMWELEKEZA JAMBO MARY FRANCES