Lameck Wambura katika
barua yake pepe kwa klabu ya Holili Youth Athletics Club ameyasema haya:
Habari
za Tz ,wazima!

Mniombee
nadhani naweza kuenda Uingereza kwenye mashindano ya dunia ya Junior
na Marekani, Hivyo Jumuiya ya Madola sitakwenda
kwasababu ya mbio hizo mbili.
Napenda
kuwapa wenzangu hamasa na kuwakilisha klabu yetu ya HYAC.
Nimeshafuzu
mita 5000 dk 14:15. pamoja na mita
3000.
Nawatakia
mandalizi mazuri ya mashindano ya taifa tutakuwa pamoja nadhan kama
mambo hayatabadilika. tutarudi tarehe 5/7/2014.
Ndimi,
Lameck Misiwa.
Lameck Misiwa.
No comments:
Post a Comment