HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Monday 15 September 2014

CEO-HYAC AFIWA NA DADA YAKE



 CEO-HYAC, Domician Genandi



Uongozi na wachezaji wa Klabu ya Holili Youth Athletics (HYAC) unatoa pole kwa Mkurugenzi Mkuu Domician Genandi kwa kuondokewa na dada yake kipenzi.

Mazishi yamepangwa kufanyika mkoani Kagera na sasa ndugu jamaa na marafiki wapo mkoani Kagera kuhudhuria msiba huo.

Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa

AMEN.
UTAWALA

No comments:

Post a Comment