HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Saturday 27 September 2014

PROSECIUS PROSPER APATA NAFUU



Mwanariadha Procesius Prosper wa HYAC amepata nafuu baada ya kuzimia asubuhi ya Septemba 25 mwaka huu kabla hajaenda mazoezini.
Taarifa ya kocha Timothy Kamili ilisema ugonjwa wa kuzimia kwa mchezaji huo ni suala linaloweza kutibika hata sasa wamechukua hatua za kumpeleka hospitali kwa matibabu zaidi ambako hali inandelea vizuri.

Prosecius hukimbia mbio fupi.

No comments:

Post a Comment