HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Saturday 1 March 2014

HYAC YAJIANDAA KUPAMBANA KILI MARATHON 2014



Klabu ya Riadha mkoani Kilimanjaro, Holili Youth Athletics Club imejiandaa vilivyo katika mbio maarufu nchini Tanzania Kili Matahon 2014 zinazotarajiwa kutimua vumbi Machi 2 mwaka huu.
DOMICIAN GENANDI AKIZUNGUMZA JAMBO
Akizungumza katika mahojiano maalum ofisi kwake mjini Holili na SuperSport, Mkurugenzi Mtendaji Domician Genandi alisema imekuwa ni bahati kwa ujio wa SuperSport kujionea namna anavyojitahidi kuinua mchezo wa riadha nchini Tanzania.
Domician aliongeza kusema kwa sasa ana wachezaji 15 katika kambi iliyoko Tarakea wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro.
 
WANARIADHA WA HYAC KAMBINI TARAKEA
PREVIOUS STORY

No comments:

Post a Comment