HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Wednesday 21 May 2014

TULLO CHAMBO AKUTANA NA JOHN STEPHEN AKHWARI


JOHN STEPHEN AKHWARI

Tullo Chambo ni mdau wa michezo nchini Tanzania na mwandishi habari wa masuala hayo ya michezo. Katika Karatu Sports Festival 2013 alikutana na gwiji la riadha lililovunja rekodi ya dunia John Stephen Akhwari ule mwaka 1968 katika Jiji la Mexico.

John Stephen Akhwari alizaliwa mwaka 1938 katika Wilaya ya Mbulu mkoani Arusha

TULLO CHAMBO NA JOHN STEPHEN AKHWARI


No comments:

Post a Comment