HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Tuesday 14 October 2014

CONGRATULATION DICKSON MARWA!


ROTARY MARATHON 2014
 DICKSON MARWA, MSHINDI WA DAR ROTARY MARATHON 2012 NA 2014

Rotary Marathon 2014 ilifanyika katika viwanja vya Farasi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam ikiwakusanya maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya Dar es Salaam.

Dickson Marwa (32) ambaye ni Mtanzania mwenye rekodi ya dakika 59:52 half marathon katika Michezo ya Olimpiki mwaka 2008, alitwaa taji la Dar Rotary Marathon 2012 na kisha mwaka 2013 alisalia katika tatu bora.

Mwaka 2014 ametwaa taji hilo kwa kutumia muda wa dakika 62:41.52

WANARIADHA WA KILOMETA 21 WAKIKIMBIA BAGAMOYO ROAD, JIJINI DAR ES SALAAM

DICKSON MARWA AKIHOJIWA NA VYOMBO VYA HABARI

ROTARY MARATHON 2014 TROPHIES

FURAHA SABAH (HOLILI CLUB) AKIWA NA WANARIADHA WENZAKE FLORA YUDA (KULIA) NA MWANARIADHA MKONGWE BANUELIA BRIGHTON

RAIS WA AWAMU YA PILI WA TANZANIA ALHAJI ALI HASSAN MWINYI BAADA YA KUMALIZA MBIO, KUSHOTO NI CP SULEIMAN KOVA.

KOCHA TIMOTHY KAMILI, AKIWA NA WANARIADHA WAKE LAMECK MISIWA NA DEO HAZARD

No comments:

Post a Comment