HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Wednesday 2 July 2014

HYAC YAJITOSA UGHAIBUNI



Katika maisha kuna nyakati za kujivunia mara baada ya changamoto nyingi, ikiwa haimanishi kwamba changamoto zimeisha bali ndio mwanzo tu…

Kumbuka unapofurahi ujue, kuwa unahitaji kupanda hatua moja zaidi ya mafanikio, ndivyo ilivyo kwa Holili Youth Athletics Club mwendo wa kusonga mbele unazidi, huku ikijiandaa kwa changamoto kubwa zaidi ili kufikia malengo ya uanzishwaji wa klabu hiyo pekee nchini Tanzania kwa sasa.

Domician Genandi ndiye Mkurugenzi Mkuu wa KLabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment