HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Friday 13 June 2014

LAMECK WAMBURA AENDELEA KUJIFUA AUCKLAND-ZEALAND, COMMOWEALTH GAMES



Lameck Wambura Misiwa, mwanariadha wa Holili Youth Athletics Club aliyechaguliwa katika timu ya taifa kwa ajili ya Michuano ya Jumuiya ya Madola mwezi ujao yupo nchini New Zealand kwa ajili ya maandalizi.












Akizungumza na HYAC, mwanariadha huyo alisema mazoezi yanaendelea vizuri pamoja na wanariadha wengine kutoka nchini Tanzania chini ya usimamizi wa Katibu wa Chama cha Riadha nchini (RT) Suleiman Nyambui.

Watakuwepo nchini humo mpaka mwishoni mwa mwezi Juni.

No comments:

Post a Comment