HYAC

Attack with Style, Defend with Heart

Saturday 2 August 2014

MIC U! KIPESE



Klabu ya Holili Youth Athletics (HYAC) itamkumbuka sana mdau na mtangazaji wa Michezo Redio Moshi FM, Hafidh Henry Lyimo aliyefariki kwa ajali ya pikipiki mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu.


Kipese kama ambavyo alikuwa akijulikana na wengi, HYAC itamkumbuka sana kwa kujituma kufuatilia michezo mbalimbali ukiwemo wa riadha, kwa mara ya mwisho alikuja katika Ofisi za klabu hiyo mwezi Februari siku ambayo Ujumbe kutoka Afrika Kusini ulipozuru maskani ya klabu hiyo na kambi yake ya mazoezi mjini Tarakea.

CHANZO: JAIZMELALEO


PREVIOUS CHAMBER


No comments:

Post a Comment